Ushauri au jinsi yakufanya biashara ya Car Wash

mim255521

New Member
Joined
Sep 13, 2022
Posts
1
Reaction score
3
Natumaini muwazima sana wa afya na poleni na majukumu ya kila siku

Nilikuwa naomba ushauri kuhusu biashara ya car wash

Sijawai kuifanya naombeni muongoza niweze kuindesha.ndugu zangu maana nimepata Boss amenikabizi ofisi maeneo ya chanika njia ya mbagara
 
cha msingi kutafuta secretary ambae atakukusanyia mapato ✅✅✅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…