Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huu ni ushauri tu ninaokupa, kama walishakuandika hadi kwenye magazeti kwamba mrithi wako kishapatikana, ijui Mbrazil, hii maana yake ni kwamba, hawana imani na wewe na wamekuchoka.
Sasa Mkuu maadam umewavusha, waachie timu yao wawape timu akina Mkwasa na Mexime.
Sasa Mkuu maadam umewavusha, waachie timu yao wawape timu akina Mkwasa na Mexime.