USHAURI: Baada ya kuingiza timu kwenye makundi, Nabi jiuzulu sasa hivi, umeshatukanwa sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu ni ushauri tu ninaokupa, kama walishakuandika hadi kwenye magazeti kwamba mrithi wako kishapatikana, ijui Mbrazil, hii maana yake ni kwamba, hawana imani na wewe na wamekuchoka.

Sasa Mkuu maadam umewavusha, waachie timu yao wawape timu akina Mkwasa na Mexime.
 
Unaelekea kuwa mshirikina Sasa.
 
Muwe mnaatumia ubongo kufikili na sio makalio kama wewe.

Ikiwa unamakasiriko na mtoa maada busara ungemtafuta kwa njia ingine

Pia inahusiana nini Mbowe na kocha wa Yanga kujihudhulu ?
Mnawaza makalio muda wote ndiyo maana mwiko hauwatoki nyuma
 
Naona Mbowe kakuamsha na chamoto!!
Muwe mnaatumia ubongo kufikili na sio makalio kama wewe.

Ikiwa unamakasiriko na mtoa maada busara ungemtafuta kwa njia ingine

Pia inahusiana nini Mbowe na kocha wa Yanga kujihudhulu ?
Mnawaza makalio muda wote ndiyo maana mwiko hauwatoki nyuma
Hayo wasema wewe mkuu na sio Mimi

Kauli mbiu ya Yanga pia haihusiani na kilichokuwa kinajadiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…