USHAURI: Baada ya kuingiza timu kwenye makundi, Nabi jiuzulu sasa hivi, umeshatukanwa sana

Joyce nkya ni lini uliposikia viongozi wa yanga wanadai hawamtaki kocha? Hao ndio waliomuajiri na hao ndio ambao wakiamua aondoke ataondoka tu
 
Joyce nkya ni lini uliposikia viongozi wa yanga wanadai hawamtaki kocha? Hao ndio waliomuajiri na hao ndio ambao wakiamua aondoke ataondoka tu
Wabongo mmeishiwa hoja kabisa yaani !! kwamba kwa vile mimi niko Chadema basi nikijadili soka natukanwa , kwahiyo soka ni mali ya ccm , ndio maana mnapeperusha picha za Samia Uwanjani wakati hajawahi kupiga hata danadana mbili !
 
Bila shaka wewe ni shaniki la kolo
 
Kwani yeye anahusika nini na Nabii mpaka ampe ushauri?? Au na wewe unawashwa kama yeye?
 
Kwani yeye anahusika nini na Nabii mpaka ampe ushauri?? Au na wewe unawashwa kama yeye?
Kwako ni halali mtu kumwambia maneno kama yale kweli ?

Ushauri sio lazima kuufanyia kazi .kwani yeye ambagaze mtu mwingine ambaekabisa hausiani
 
Huyu wananchi wazalendo tunae Sana,kwa maana mbili kuu,kuendeleza rekodi ya unbeaten zaidi na mtani,na pia ahadi ya ubingwa wa ligi ya ndani miaka7 mfululizo na kimataifa kuwajengea wananchi uwezo na uzoefu wa kupambana sii tu na mwarabu,na West Africa Bali Hata south Na north.
 
Kwako ni halali mtu kumwambia maneno kama yale kweli ?

Ushauri sio lazima kuufanyia kazi .kwani yeye ambagaze mtu mwingine ambaekabisa hausiani
Afanye yanayomhusu, mbona asimshauri mgunda kuondoka ikiwa yupo mbioni kufukuzwa??.
 
Afanye yanayomhusu, mbona asimshauri mgunda kuondoka ikiwa yupo mbioni kufukuzwa??.
Ya Mgunda hayanihusu nafikili nawe ni mwana jangwani kami mimi wafahamu hali tuliyokuwa tunapita mara baada ya kuondolewa na Al hilal ya Sudan

Hata mm niliamni kocha kaishiwa mbinu

Nami niliona busara tu atimliwe na si vingine. Kwa sasa tumpatie mechi mbili za kwenye makundi kwanza . Akiborongo atimliwe tu
 
UNAHAMUYAMHOGOOONAAZAMENERGYEEHH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…