Kimsingi, muone mwanasheria ili afanye uchambuzi mzuri wa vifungu vilivyopo kama vimekidhi matakwa kisheria na maslahi yako kwa ujumla yamelindwajwe, akupe tasfiri ya kila kilichopo kwenye mkataba ili ibaki kwako kuamua kusaini ama ala. Bila kuelewa tafsiri ya vifungu hivyo kwenye mkataba usiingie mkenge ukasaini maana yaweza kukugharimu.
Mbali na hayo, je stahiki zako za kipindi cha nyuma kabla ya kupewa mkataba ulilipwa?
Yote hayo ni mambo muhimu kisheria nitafute nikupe muongozo.