Ushauri: Baada ya mimba kuharibika/kutoka

Ushauri: Baada ya mimba kuharibika/kutoka

Sawa!Labda kwangu nikusaide vyakula ambavyo vitakusaidia kuimarisha reproduction.Currently tumia sana maharagwe ya soya, maziwa ya soya, njugu,zambarau pia mbaazi mbichi.Wakati unajiandaa kwenda kulala pata yai la kienyeji ambalo utalikaanga na kukatia bilinganya na kitunguu kile ambacho ukikikata unatoa machozi.
Unaweza kuanza jitihada ya kutafuta mtoto baada ya miezi mitatu na siku 40.
Pia kila unapokwenda kuoga jitahidi unywe maji glasi moja.Pia kazana kusoma biblia na kuwa mtu wa sala ili kufikia ahadi ya MUNGU kwako.Ubarikiwe @Deprrety.
 
Back
Top Bottom