ushauri BACHELOR OF TECHNOLOGY IN ARCHITECTURE

Vangiporini

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
327
Reaction score
310
wakuu naomba ushauri kwa yeyote anayeifahamu vizuri course hiyo
 
ni course mzur but ngumu kiasi..jiandae kukesha na studio..coz hilo ndio core subject..haisumbui sana kwenye ajira hata kama ma-architect wameshaanza kuwa wengi..jivunie hujasoma chuo cha kata..utanisalimia teacher mmoja anaitwa mr choga na mmasai mmoja nimemsahau jina amemaliza ARU mwaka juzi anawapigia lecture hapo.hope hutojutia..
 
.hndg yangu km hujui kuchora na wala hukuwahi na huna talent ya kuchora ata kiboksi,utapa presha bdo yanki,ckutsh ila ndo fact,ukifeli core kozi(studio) uwezekano wa kudsco ni zaid ya 50%,kumbka ukifeli studio kwa semista yyte unarudia mwaka coz haina kusapua iyo!kuna mwana wamekula kchwa 2nd yr semsta ya pili kapagawa.NB,ukimalza vizur sio lazma uajiriwe,pia unaanza kula vchwa b4 ata hujamalza chuo!ila kaz ipo ndg!
 
but hata kama hujui kuchora utafundishwa just uwe hardworking tu..pale ardhi washkaji zangu waliingia hawajui hata kuchora cartoon but end of the day walimaliza wapo vizur sana..wanajua kama wengine ndio hvy so wanawaanzisha from begining..
 
nashukuru mkuu nitajita jitahidi nikifika huko
 
kweli inabidi nikapige kazi kiukweli ila kuchora sio tatizo mana nina idea nayo nilisha ipiga olevel technical school
 
but hata kama hujui kuchora utafundishwa just uwe hardworking tu..pale ardhi washkaji zangu waliingia hawajui hata kuchora cartoon but end of the day walimaliza wapo vizur sana..wanajua kama wengine ndio hvy so wanawaanzisha from begining..

ni kweli mkuu bidi inahusika hapo
 
Napita tu acha wana-ardhi wajadili yanayowahusu

Lkn broda Lunya we kaza tu iyo architecture.... nina broo wangu alimaliza iyo cozy 2011 believe me saiv ana mkoko na mjengo wa maana...bt cha kushangaza ameajiriwa barick goldmine
 
Last edited by a moderator:
Lkn broda Lunya we kaza tu iyo architecture.... nina broo wangu alimaliza iyo cozy 2011 believe me saiv ana mkoko na mjengo wa maana...bt cha kushangaza ameajiriwa barick goldmine

Hata huko wanafanya kazi..kuwa architect sio lazima uwe unasesign2 kuna mambo mengine wanafanya..muhimu wanaujuzi.. Mmoja amemaliza 2011 hio hio anaitwa angel yupo tigo na anafanya kazi hizo hizo za proffesional yake..na ana hela ndefu..2011 nimebahatika kuwajua wote coz my bro nae kagraduate huo mwaka so wakat nipo advance likizo yote nilikua nipo ardhi..
 
Last edited by a moderator:

Kumbe ukitulia hua unatema madini ya kueleweka
 
Lkn broda Lunya we kaza tu iyo architecture.... nina broo wangu alimaliza iyo cozy 2011 believe me saiv ana mkoko na mjengo wa maana...bt cha kushangaza ameajiriwa barick goldmine

hakuna shida kaka nitajitahidi kukaza buti ipasavyo
 
Last edited by a moderator:

dah! Kumbe ina uwanja mpana ivo
 
Kuchora sio tatizo kubwa sana cha muhimu kujipa mazoea ya drafting something from nothing, hii ndio best technique katika kukuza carrier ya Architecture. Piga msuli but ndo ivyo pndelea kubuni coz kazi zako hazitakiwi ziwe za copy and paste. Jitahid kujipinda na ubunifu, uniqueness, naamini utaweza, hapo hapo mwanzo bob. Mi nakutakia maendeleo mema ya masomo
 
nashukuru mkuu nitalifanyia kazi hilo
 
wakuu naomba ushauri kwa yeyote anayeifahamu vizuri course hiyo

Mkuu mimi nina mtu wa karibu sana ambae amesoma hiyo architecture kila siku amekuwa akinishawishi nichukue hyo kitu anasema inawigo mpana sana katika utendaji wake kwasasa yupo mtwara ameajiliwa kwenye ujenzi wa kiwanda cha cement ila anadai kwa hyo fani jiandaee sana kucheza na measurements kama angles na uwe na creativity ya hali ya juu xana...pia unahitaji msuli heavy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…