Ushauri: Bajaji zilizozuiwa kubeba abiria Mbezi Luisi ziruhusiwe kutokana na wingi wa abiria

Waongeze mabasi ya mwendo kasi yasiishie kimara yote yaende mbezi mwisho.
 
Hiyo katiba yenyewe ya sasa haunimamiii,,,,hata zikija laki bila usimamizi ni wimbo usioisha,,,,tatizo Watanzania wengi hatujui Tatizo tunakimbilia kutatua🤣🤣
 
Hiyo katiba yenyewe ya sasa haunimamiii,,,,hata zikija laki bila usimamizi ni wimbo usioisha,,,,tatizo Watanzania wengi hatujui Tatizo tunakimbilia kutatua🤣🤣
Hapana. Hii sababu haina mashiko. Japo kweli wabongo ni waoga na hawafuatilii uwajibikaji wa viongozi wao lakini katiba mpya itafanya baadhi ya mambo kuwa afadhali kidogo kuliko ilivyo sasa. Jambo lolote linaloongeza ufanisi hata uwe mdogo kiasi gani la kheri.
 
Wenzako wanataka wawe na uwezo wa kumshitaki raisi akiwa madarakani na tume ya uchaguzi kuundwa tofautii,,,ndo maana kina watu wanafuata mkumbo ukimuuliza katiba ikibadilishwa utafaidikaje hola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…