Ushauri bangudu n

Ushauri bangudu n

emathuan

New Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Niliumia mkono nimuda sasa kipande chachuma kidogo sana kiliingia kwenge kiganja chamkono dockta akanishauri hakina madhara lakini mbona mkono unaniuna sasa maeneo ya begani ushauri jamn
 
Niliumia mkono nimuda sasa kipande chachuma kidogo sana kiliingia kwenge kiganja chamkono dockta akanishauri hakina madhara lakini mbona mkono unaniuna sasa maeneo ya begani ushauri jamn
Kipande cha chuma kimeingia kwenye kiganja halafu Dr anakushauri hakina madhara na wewe una mkubalia mkuu wangu!? Hapa tafuta mtaalamu mwingine haraka maana kuna hatari ya kupata tetanus..
 
Back
Top Bottom