Olaw2jr
Member
- Jun 22, 2012
- 53
- 28
Habarini
Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua:
Asanteni.
Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua:
- Gharama ya kuweka beam and block slab kwa eneo la takriban mita za mraba 160
- Uzoefu wenu na aina hii ya slab - ubora wake na changamoto zake
- Mapendekezo ya mafundi wazuri wenye uzoefu na kazi hii (kama mnaowajua)
- Gharama za kawaida na vifaa na ufundi kwa Dar ukilinganisha na slab ya kawaida.
- Mambo ya kuzingatia wakati wa ujenzi
- Muda unaotakiwa kukamilisha kazi hii
Asanteni.