USHAURI: Beam & Block Slab - Gharama na Mafundi

Olaw2jr

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
53
Reaction score
28
Habarini

Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua:
  • Gharama ya kuweka beam and block slab kwa eneo la takriban mita za mraba 160
  • Uzoefu wenu na aina hii ya slab - ubora wake na changamoto zake
  • Mapendekezo ya mafundi wazuri wenye uzoefu na kazi hii (kama mnaowajua)
Tafadhali nishaurieni kuhusu:
  • Gharama za kawaida na vifaa na ufundi kwa Dar ukilinganisha na slab ya kawaida.
  • Mambo ya kuzingatia wakati wa ujenzi
  • Muda unaotakiwa kukamilisha kazi hii
Nitashukuru sana kupata maoni yenu na namba za mafundi wenye uzoefu.

Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…