Ushauri benki gani inayotumika Tanzania na Kenya?

Ushauri benki gani inayotumika Tanzania na Kenya?

DIFFENDA

Senior Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
124
Reaction score
53
Habari,

Kuna biashara natarajia kwenda kufanya Nairobi, kiasi cha pesa ni kikubwa kutembea nacho. Naomba ushauri ni benki gani niweke pesa Tsh, ili nikiwa huko Nairobi niweze kutoa kwa ksh.
 
Back
Top Bottom