Benki kuu ndugu yangu naanzaje! Sina Kampuni ndo kazi yangu ya kwanza ninafanya as individual Consultant kama kuna alternative nyingine mbali na benki kuu nitashukuru pamoja na maelezo ya dhamana zitakazohitajika.Nenda Benki kuu,ila lazima uwe umesajiliwa kama Kampuni nauna uzoefu wa kazi husika kwa references ya kazi umezowahi kufanya,dhamana lazima,na sio blaa blaaa
Sikukatishi tamaa,kama huna kampuni hakuna bank hata moja itayokupa mkopo wala kufikiria kukupa Mkopo.Benki kuu ndugu yangu naanzaje! Sina Kampuni ndo kazi yangu ya kwanza ninafanya as individual Consultant kama kuna alternative nyingine mbali na benki kuu nitashukuru pamoja na maelezo ya dhamana zitakazohitajika.
Mh! Sawa mkuuSikukatishi tamaa,kama huna kampuni hakuna bank hata moja itayokupa mkopo wala kufikiria kukupa Mkopo.
Mkopo sio rahisi kama tunavyofikiria.
Na hapo kama ndio kazi yako ya kwanza ni kwamba unaifanya bila kuwa Licensed,sasa ni kwamba bado inatia mashaka nani anakupa kazi bila kuwa na license.
Wengi mliomaliza chuo cha Ardhi mnapata tabu sana kwenye kuanza,na tatizo ni kwamba hamna umoja.Mgejiunga kikundi na kuunga unga pesa zenu kisha mkanzisha kampuni basi mngepata tenders za uhakika.
We angalia mfano kampuni za wana sheria Advocates,unaweza kukua imeandikwa Rwechungura and Jonas Advocates,au Juma and Michel advocates,lengo ni kutafuta nguvu
Mkuu ni vyema ukafunguka hapa kwa faida ya woteKupata maelekezo zaidi wasaliana na 0766244848. utapata mkopo wa haraka
Be open, how? Mwenye hiyo namba ni bank, kaomba u shauri ni bank gani answerable kupata loan faster fasterKupata maelekezo zaidi wasaliana na 0766244848. utapata mkopo wa haraka
Ahsante masharti yao yapoje mkuuNenda Bayport! Ukienda asubuhi, jioni umepata. Hawana longo longo ila riba yao ni kibwa ki mtindo
Uwe na salary slip mbili za miezi miwili ya karibuni, uwe na barua kutoka kwa mwajiri na ujaze fomu ya maombi ya mkopo. Kwa maelezo zaidi tembelea tawi lao lililopo karibu kwa ufafanuzi zaidi.Ahsante masharti yao yapoje mkuu