Machimbo unaweza kununua gadgets kwa bei ya jumla kariakoo
Au unaweza kuyaagiza mwenyewe china,marekani n.k huko kwa kutumia aliexpress,ebay,amazon(rejareja)
Alibaba,wechat(Jumla jumla)
Kuhusu mtaji ni wewe sasa ukishajua bei ya vitu unavyotaka unaweza ukapanga uanze na idadi ipi ambayo itakujulisha bei uliyokuwa nayo