Kwa wana JF wajuzi na wataalamu NAOMBA kujuzwa kuhusu Biashara ya Uwakala wa aina yoyote. Sisi tuna kampuni iliyosajiliwa 2013, inashughulika na mambo mengi, moja ya malengo yake ni kujihusisha na biashara za huduma za uwakala. Naomba kujuzwa NIJARIBU UWAKALA GANI wenye tija kibiashara na wenye masharti nafuu kutoka kwa wenye huduma au bidhaa zao. Mfano wazo langu la kwanza ni uwakala wa huduma za benk...... TAFADHARI NAOMBA MAWAZO YENU. ASANTE