Ushauri: Biashara ya kubeba abiria Moshi - Tarakea

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
1,962
Reaction score
1,618
Habari wajasiriamali wenzangu,

Hivi karibuni nafikiria kijiunga na wenzangu katika kuajiri.

Ipo hivi;
Ninunue gari Aina ya Toyota Noah kisha dogo akafanye biashara ya kubeba abiria kutoka Moshi mjini mpaka Tarakea au sehemu inaitwa Wilayani. Ambapo nauli ni kuanzia 3000/ kwa mtu.Na Noah za pale hubeba watu mpaka 10.

Naomba nisaidiwe juu ha hili wazo;
1 Je linaweza kua sahihi?
2 Au mbali na hii route je kuna route nyingine sehemu nyingine yenye faida kuliko hii.?

Naombeni ushauri wa biashara hii ya usafirishaji au hata nyingine Bora zaidi.
Mtaji ni 12,000,000/

Asanteni.
 
Sijajua Ila kwa sasa hivi yaani naamanisha kuwa hii route ya moshi , himo, mwika, mamsera Mkuu, mashati...to tarakea wameacha kusajili Noah. Hii no kuwepo kwa utitiri wa noha nyingi japo bado kuba solo. Ila kukataa kusajili route hizi so kwamba watu hawaingizi noha mpya kwenye route hii. Lakini nakuhakikishia ukipata inalipa sana, maana takriban zaidi ya 4 za week huwa kuna masoko, hivyo watu hujongea kutoka sehemu moja kwenda sokoni hivyo hii inakuhakikishia uwepo wa wateja.
 
Wameacha sajili Noah !
Uhakika ndugu?
Maana nipo kwenye ncha kuigharamia hii biashara.
 
Siku hizi watu hawapandi sana Noah, kuna viji-hiace flani hvi (shuttle) ndo wanapanda sana.. Ni salama zaidi ya Noah, vina mwendo zaidi ya Noah, na ni vizuri kiukweli.
Noah mnunulie mama mkwe
 
Sijajua Ila kwa sasa hivi yaani naamanisha kuwa hii route ya moshi , himo, mwika, mamsera Mkuu, mashati...to tarakea wameacha kusajili Noah. Hii no kuwepo kwa utitiri wa noha nyingi japo bado kuba solo. Ila kukataa kusajili route hizi so kwamba watu hawaingizi noha mpya kwenye route hii. Lakini nakuhakikishia ukipata inalipa sana, maana takriban zaidi ya 4 za week huwa kuna masoko, hivyo watu hujongea kutoka sehemu moja kwenda sokoni hivyo hii inakuhakikishia uwepo wa wateja.
Hata mimi kuna kipindi nilisikia hivyo kuwa wamezuia kusajili noah na sababu kubwa ni usalama
 
Siku hizi watu hawapandi sana Noah, kuna viji-hiace flani hvi (shuttle) ndo wanapanda sana.. Ni salama zaidi ya Noah, vina mwendo zaidi ya Noah, na ni vizuri kiukweli.
Noah mnunulie mama mkwe
Nipe taarifa zaid ya hizi gari
 
Siku hizi watu hawapandi sana Noah, kuna viji-hiace flani hvi (shuttle) ndo wanapanda sana.. Ni salama zaidi ya Noah, vina mwendo zaidi ya Noah, na ni vizuri kiukweli.
Noah mnunulie mama mkwe
Samahani pia naomba jina sahihi la hizi gari,
Ili nizisome kidogo tuone sifa zake.
 
Siku hizi watu hawapandi sana Noah, kuna viji-hiace flani hvi (shuttle) ndo wanapanda sana.. Ni salama zaidi ya Noah, vina mwendo zaidi ya Noah, na ni vizuri kiukweli.
Noah mnunulie mama mkwe
Unakusudia aina hii hapa ?
3de6be26664cbe4cbb4936f4733f01ef.jpg
 
Back
Top Bottom