Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
Wameacha sajili Noah !Sijajua Ila kwa sasa hivi yaani naamanisha kuwa hii route ya moshi , himo, mwika, mamsera Mkuu, mashati...to tarakea wameacha kusajili Noah. Hii no kuwepo kwa utitiri wa noha nyingi japo bado kuba solo. Ila kukataa kusajili route hizi so kwamba watu hawaingizi noha mpya kwenye route hii. Lakini nakuhakikishia ukipata inalipa sana, maana takriban zaidi ya 4 za week huwa kuna masoko, hivyo watu hujongea kutoka sehemu moja kwenda sokoni hivyo hii inakuhakikishia uwepo wa wateja.
Siku hizi watu hawapandi sana Noah, kuna viji-hiace flani hvi (shuttle) ndo wanapanda sana.. Ni salama zaidi ya Noah, vina mwendo zaidi ya Noah, na ni vizuri kiukweli.Wameacha sajili Noah !
Uhakika ndugu?
Maana nipo kwenye ncha kuigharamia hii biashara.
Hata mimi kuna kipindi nilisikia hivyo kuwa wamezuia kusajili noah na sababu kubwa ni usalamaSijajua Ila kwa sasa hivi yaani naamanisha kuwa hii route ya moshi , himo, mwika, mamsera Mkuu, mashati...to tarakea wameacha kusajili Noah. Hii no kuwepo kwa utitiri wa noha nyingi japo bado kuba solo. Ila kukataa kusajili route hizi so kwamba watu hawaingizi noha mpya kwenye route hii. Lakini nakuhakikishia ukipata inalipa sana, maana takriban zaidi ya 4 za week huwa kuna masoko, hivyo watu hujongea kutoka sehemu moja kwenda sokoni hivyo hii inakuhakikishia uwepo wa wateja.
Nipe taarifa zaid ya hizi gariSiku hizi watu hawapandi sana Noah, kuna viji-hiace flani hvi (shuttle) ndo wanapanda sana.. Ni salama zaidi ya Noah, vina mwendo zaidi ya Noah, na ni vizuri kiukweli.
Noah mnunulie mama mkwe
Samahani pia naomba jina sahihi la hizi gari,Siku hizi watu hawapandi sana Noah, kuna viji-hiace flani hvi (shuttle) ndo wanapanda sana.. Ni salama zaidi ya Noah, vina mwendo zaidi ya Noah, na ni vizuri kiukweli.
Noah mnunulie mama mkwe
Nadhani nifikirie kwenda mwenyeweHii ukimpata mtu yupo Moshi Stand atakupa majibu mubashara mkuu
Hapo ndio utapata ukweli wote, fanya kama msafiri tu hivi kisha unafanya observation mwenyeweNadhani nifikirie kwenda mwenyewe
Unakusudia aina hii hapa ?Siku hizi watu hawapandi sana Noah, kuna viji-hiace flani hvi (shuttle) ndo wanapanda sana.. Ni salama zaidi ya Noah, vina mwendo zaidi ya Noah, na ni vizuri kiukweli.
Noah mnunulie mama mkwe