Ushauri: Biashara ya kukopesha

Joasi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
766
Reaction score
674
Habari za jioni,

Nimepata mtaji wa TSH 2,000,000.
nataka kufanya biashara ya kukopesha hapa mahala ni kijijini lakini si Sana na Kuna waajiliwa wengi WA sector mbali mbali wa Afya na uwalimu.

Nimepanga kutoa mkopo kuanzia Sh 50,000 mpaka 300,000.

RIBA ni 20%
Muda ni mwezi mmoja.

MASHARTI
*Ataacha ATM card na namba ya siri pia nimeandaa barua maalumu ya kusaini pamoja na mhuri wa mwenyekiti wa mtaa.

Naomba ushauri wenu juu ya hili swala
 
[h=3]Sidhani kama sheria inaruhusu kukopesha kwa riba kama hujasajiliwa na bank kuu na TRA. Hutakuwa hunavunja sharia ya nchi.. Naoma maelezo ya kisheria kama kuna mwanasheria.[/h]
 

Fungua kilabu uwe unakopesha pombe...:A S 41:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…