Wee komaa wala ucsikilize watu wanasema nini kama imedhamiria jicomit fanya reseach kutana na wazoefu..fanya reseach ya markert..madalaali unacheza nao vip..fuatlia u will succed hata hyo m1 ukianzia na ndz cyo mbaya inawezkana tena unachkulia moshi..mwika kule..its posible me kuna biashara moja nina uzoefu nayo nikawa cnaga mtj nikamweleza boss mmj yupo vizuri kifinancialy..akaniambia nimwandaliie report kutkana na hyo biashara faida yake hasara zake risk evrythng nikapreparae akaisoma na akanikubli na akaniambia nitashare naye hyo biashara i min tuwe wote for real nika accept coz yeye alikuwa ndo mwenye ela me nikamkublia awe director then mim niwe asistance..bhac ikawa ishue iliyobaki ni kandaa leseni ya biashara so ili iwe rahic kuchkuwa product za kampuni then ndo tufanye kazi..tupo kwenye process ya ltin pmj na leseni badae tukapnga meetng cku hyo napga cmu hapokei tena ..kesho yake kimya duu bhac nikaachana naye..nikakaa chini kutafkazi hili jambo nikasema hata mimi naweza amtegemeae binadamu amelaniwa bible inasema hivyo na cyo maneno yangu..bhac nikasema kwa kweli huyu boss amenifungua akili nashkuru mungu nisngekutana na huyu boss nisingekuwa na biashara yangu peke yangu yeye ndo source yakunifanya nijione hata mimi naweza yaani leo hii nikimuonyesha kitu nilichokuwa natarajia kushare naye aamin ansema kwa kweli wewe ni hatari tuwe tunajifunza kwa kweli maisha ni kujiamini kuna watu kazi yao nikumkatsha mtu tamaa yeye anaona hiki kitu no i cant du it so ngoja nimfanyie hiv mawazo ya kimaskini hao