Ushauri biashara ya kuuza pikipiki

Ushauri biashara ya kuuza pikipiki

Erick Richard R-Madrid

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
399
Reaction score
282
Salamu wakuu. Natumaini mko wazima na Afya tele.

Nilikuwa na wazo la kuanzisha biashara ya uuzaji wa PIKIPIKI Mfano: FEKON na BOXER. Nimekuwa nikinunua pikipiki tangu Mwaka jana kwa ajili ya kukodisha kwa MKATABA wa Mwaka mmoja. Nimekuwa nikiona wauzaji wanauza kwa haraka zaidi na kupata Faida kwa haraka zaidi. Ningependa kufahamu yafuatayo.

1. Nawezaje kupata PIKIPIKI kwa bei ya Jumla na me niuze kwa bei ya rejareja pia (MAHALA/KAMPUNI) inayouza.

2. Napenda kufahamu changamoto na Faida pamoja na USHAURI kwa waliowahi fanya kazi hii.

Nashukuru kwa mawazo yenu na ushauri kupitia JUKWAA HILI LA BIASHARA. MBARIKIWE SANA
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wengine ni maagent wanauza na kurejeshaa mshiko kwa wenye nazo japo wanapata faida na wao
 
Back
Top Bottom