Jabu Fredrich
Member
- Sep 13, 2017
- 46
- 36
Glass protector wauzaje?Mm supplier mkubwa kariakoo nauza 800
Asante mkuu,naomba namba zakoMm supplier mkubwa kariakoo nauza 800
Poa poa kaka,namba ya simu tafadhalintakuuzia glass protecta ninazo zote kwa 1500
na ukichukua zaidi ya 100 ni 1000
Kava za simu htc bei ganiMm supplier mkubwa kariakoo nauza 800
Nauza jumla tu mkuuKava za simu htc bei gani
Mkuu tuelekeze Machimbo hayo basii. .Kkoo kuna maduka bei zao ni kama upo China....Haya maduka ya nje (face road) nayaonaga kama yanauza rejareja....Kkoo ujue machimbo tu hata Nairobi nimeghair
Mkuu naomba mawasiliano yako Pm nataka nifungue duka la hivi vifaa vya simu..nadhan utanipa msaada maana una uzoefuMm supplier mkubwa kariakoo nauza 800
ntakuuzia glass protecta ninazo zote kwa 1500
na ukichukua zaidi ya 100 ni 1000
kaka naitaji sana hii kitu aiseeeMm supplier mkubwa kariakoo nauza 800
Kweli bhana anaejua atupe mwanga. Maana tupo wengi!Kwa anaejua bei za jumla za phone accessories hasa screen protector, earphones aina zote, chargers, betri aina zote, makava ya sim hasa smartphone nk