Mashine zipo kisutu na kariakoo bei hadi 60,000/- kwa kila moja.habari wakuu,kuna hii biashara ya kuuza crips za viazi,ndizi au mihogo na tambi za dengu,naomba kufahamu juu ya faida na soko lake kwa ujumla kwa dsm.mashne za kutengenezea znapopatkana na gharama za uendeshaji kwa ujumla kwa anaezifahamu.natanguliza shukrani lakn kama kuna maelezo mengne zaid tofaut na haya nitashukuru zaidi.