Hello wana Jamii Forum,
Nafikiria kuanzisha biashara ya uwakala wa bima aina zote hapa Dar es Salaam na ikiwezekana na mikoa ya jirani.
Sina utaalamu sana ila nilifanya kazi kidogo kwa hizi kampuni. Nahtaji ushauri kwa wenye experience nazo changamoto za biashara, faida na kila kitu kwenye eneo hili.