Poa MkuuUkifungua mkuu naomba usinisahau nasoma hizo bima AF Nina uzoefu na motor insurance
Acha dharau na Wivu inaonyesha una stress za hela njoo nikukopeshe.Sasa kama ulishafanya kazi kwenye kampuni hizo unakwama wapi mkuu!? Ama kazi yako ilikuwa ni mlinzi kufunga geti na kufungua?
Acheni kudharau walinzi paka shume nyie.Sasa kama ulishafanya kazi kwenye kampuni hizo unakwama wapi mkuu!? Ama kazi yako ilikuwa ni mlinzi kufunga geti na kufungua?
Mshenz sana huyo anaona ulinzi sio kazi hana akili ana stress hapo alipo mtu mwenye akili hawezi comment upumbavu wa aina hii.nafungua kampuni aje nimwajiri.Binadamu sijui wakojeAcheni kudharau walinzi paka shume nyie.
Familia zao mnazilisha nyie ??
Ahsante sana Mkuu kwa ushauri🙏🙏🙏tafuta kampuni kubwa ya bima,bumaco,jubilee insurance etc.kisha uingie nao mkataba kwamba utakua wakala wao,utapewa muongozo wa kacover wanazotoa hiyo kampuni,vile vile itaitajika cheti cha mtu aliyosomea insurance.utmost good faith
Ahsante sana Mkuu kwa ushauri🙏🙏🙏
kuhusu kupata cheti sio lazima wewe umesomea bima,unamtafuta aliyosomea,either umuajiri au mkubalie akuuzie au akukodishie cheti chakeAhsante sana Mkuu kwa ushauri🙏🙏🙏