BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Wakuu habari.
Mi ni mfanyabiashara, Ila kwa Sasa biashara yangu niliyokuwa naitegemea imekwama. Nataka kujikwamua kutoka hapa nilipo.
Sijawahi kukopa, Ila kwa hali niliyofikia inanilazimu nitafute mkopo au partnership wa biashara.
Nina nyumba nne, mojawapo naishi mwenyewe, Kodi mpaka mwezi wa kumi, Mambo hayaendi. Nina shida ya milioni kumi, au nimuuzie mtu hisa za kampuni mwenye interests.
Naomba ushauri wenu