ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Habari zenu wakuu eid mubaraq husikeni na kichwa cha uzi wangu apo juu ninaomba kujua au kuambiwa na wanajamii forums juu ya bima ipi itanisaidia endapo nitapata ajali ya nyumba yangu ya kibiashara au jengo langu la kibiashara.asanteni wakuu jengo langu lina thamani ya milioni mia moja.