Utamaduni wa kujaza wasomi na walimu wa vyuo kwenye bodi za mashirika hayana tija. Kwenye bodi hizi mtaalamu sana sana awe mmoja na walionaki wawe watu ambao wanajua na kutumia reli mfano wafanyabiashara wa mizigo inayoenda nchi za nje, wataalamu wa kodi lakini watoke kwenye kampuni binafsi na wawe na uzoefu, wataalamu wa ununuzi kutoka kampuni binafsi na wawe na uzoefu.
Bodi za mashirika zimejaa ndugu na jamaa wa viongozi 🤔
Bodi za mashirika zimejaa ndugu na jamaa wa viongozi 🤔