chapangombe
JF-Expert Member
- Sep 28, 2014
- 374
- 325
Kikubwa tu atakuwa kama shahidi tu na atatoa ushahidi kama mtu mwingine lkn hakimu na wakili wao ndio wanatambulika kisheria katika hati za viapoSasa watendaji wana nguvu gani ya sheria nikitaka kuuza kiwanja changu? Role yao ipi kisheria?
Ila ushauri ukitaka kuuza kiwanja tafuta mwanasheria kwa sababu ndio wenye nguvu za kisheria lkn ndio wanaojua kutengeza mikataba ambayo ni legalSasa watendaji wana nguvu gani ya sheria nikitaka kuuza kiwanja changu? Role yao ipi kisheria?
Ndio unaweza kupitia cyber Act na pia unaweza kumshtaki kwa defarmation kama madaiJe mtu aliyevujisha maongezi yenu ya siri kwa kuyarekodi na kuyasambaza mitandaoni je naweza mshtaki?
Inategemea na aina ya Siri yenyewe! Sasa Kama ilikua mna maongezi ya kiuhalifu!!??Je mtu aliyevujisha maongezi yenu ya siri kwa kuyarekodi na kuyasambaza mitandaoni je naweza mshtaki?
Mdai anaweza kuomba maombi mahakamani ukakamatwa na kufungwa kama civil prisoner mpaka utakapolipa deni la watu au ndugu zako walipeKwenye kesi ya madai,Mfano Mahakama imesema natakiwa kumlipa Mr X milioni 10,Sina hiyo pesa wala sina mali yoyote inayoweza pigwa mnada kufidia.
1.Mdai anatakiwa kufanya nn ili ipate hiyo haki yake?
2.Mdaiwa atapata athari gani kisheria?
Mahakama inategemea na kiasi cha damage unachotaka ikiwa zaidi ya mil 200 ni Hc ikiwa less happo ni Dc au Rmc na ikiwa less 50 Pc ila zingatia muda toka tukio lilipotokea.
Mwandikie barua ya kisheria ya kumtaka alipe kwa muda kazaa akikataa mpeleke mahakani usichukie kitu cha mtu mambo yatakugeuka sheria haitaki hivyoMsaada kuna mtu nina mdai pesa 1mil na tuliandikishiana kuwa atalipa kwa hawamu mbili ya kwanza 22 August na ya pili ni 22 September na mashahidi wa pande mbili walikuwepo na kusaini yale makubaliano ila hadi sasa jamaa hajalipa ata sh kumi, mdaiwa ana car wash pia sasa nawaza niende kuchukua moja ya vifaa vyake ili akipata pesa yangu nimrudishie vifaa vyake maana nimeona hawezi tena kunilipa na deni ni la miezi zaidi ya 9 sasa, ushauri wenu wadau ninaumia sn coz ni haki yangu jamaa ananipiga kalenda tu
jiulize hicho unachotaka kuchukua kilikuwa sehemu ya makubaliano yenu ya mkataba?Msaada kuna mtu nina mdai pesa 1mil na tuliandikishiana kuwa atalipa kwa hawamu mbili ya kwanza 22 August na ya pili ni 22 September na mashahidi wa pande mbili walikuwepo na kusaini yale makubaliano ila hadi sasa jamaa hajalipa ata sh kumi, mdaiwa ana car wash pia sasa nawaza niende kuchukua moja ya vifaa vyake ili akipata pesa yangu nimrudishie vifaa vyake maana nimeona hawezi tena kunilipa na deni ni la miezi zaidi ya 9 sasa, ushauri wenu wadau ninaumia sn coz ni haki yangu jamaa ananipiga kalenda tu