bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Halafu wakati naenda ku edit list.
Ningependa kwanza pia kujua,maana kumbe mimeo nayo inatongozana hadi iwe na jike na dume?
Maana kuna ushauri wa bitimkongwe
Je nikipanda mti mmoja hautaweza kuzaa hadi nichanganye na angalau aina moja ya mti dume kwa upevushaji?
Ndiyo kuna aina ya miti jike na dume peke yake, haikuchanganyika. Ndiyo maana unashauriwa upande mitatu ili kupata uwezekano wa kuwa na mmoja wao dume/jike. Ukipanda mmoja peke yake hautazaa.
Hata mipapai inayo tabia hiyo, jike na dume tafauti.
Ongeza na migomba miwili ya ndizi sukari...mimi ninayo hii ndizi zake zinapendwa sana.
Nakubali ila pia inawezekana ardhi ikawaha haikubali kisha ukahamisha udongo wa zao husika kutoka sehem moja kwenda nyingine.Hili pia nimelifikiria na lipo.Najua yote hayatakubali ila plan B ni kuhamisha udongonature ya ardhi ya hapo ulipo inahimili hixo sample ulizoorodhesha.? Udongo na virutubisho vilivyomo ndio huamua mmea upi ustawishwe hapo,
Hahahahaa zambarau nomaaa sanaaaaAsante Kingmairo.
Zambarau ni Idea nzuri pia,nimeongezea pale mkuu,ila Zabibu inashida kidogo kwenye kuchukua eneo la utambaaji na uangalizi wa karibu.Mazao niliyo plan ni yale ambayo hayachukui muda saana kwa mutu kufanya uangalizi.Ila nitategemea ideas nyingine namna ya upandaji wake,kama linaweza kifit kutambazwa na miti mingine.
Ila Zambarau nimekubali nimeliweka kaka.
Halafu lazima niweke na First Aid kit,maana mizambarau naiju,ilituvunja sana watu miguu aisee.
Yaani unapanda kwenye mti,kila ukijongea unaona unakaribia kushika zambarau mara mti kwaaa,chini.Hahaha
Angalia hawa hapa chini kwa utam wa Zambarau wameona wapande juu ya lorry aisee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Weka na marijuana kwa ajili ya wageni kama FaizaFoxy
Mkuu hii ina Majini,aiseemkuu.panda na mishelisheli
Safi mkuu,Ukubwa huo unatosha,vipi bei ya Mashamba huko ipojeKiongozi Asante kwa mrejesho wako. Mm nimeipenda n ninaicopy kwenda nayo katika shamba langu lililoko BAGAMOYO,FUKAYOSI ambalo nami nina plan kama yako lakini kwngu nitaweka makazi baada y miaka 3 tu.makazi y kuenda siku z wkend na sikukuu kupumzika n ndugu n jamaa. Ni heka chache tu kama 2 hv. Nimesafisha moja heka kwnza kwajili y kitu kama hii.nimepata kuvutiwa n mawazo kama haya. Sasa ni Wakati wa vitendo. Eeh mungu naomba uwezeshe ndoto yangu hii kutimia. Amen.
HII NI SEHEMU YA SHAMBA LENYEWE.
SEMA MM NITAONGEZA NA MBUZI WA KUZAA MAPACHA KAMA KITOWEO TU.
Mkuu Bustani wa siku hizi ni ya Matunda au Miti Tiba,Sio MauaHii ni idea nzuri. Nina bustani nyumbani kwangu ambayo naona inanigharimu kumwagilia lakini bustani yenyewe di matunda. Nahisi nikipanda matunda itakuwa ya manufaa.
mkuu nayapenda matunda yake .lakini mbona hata mipera tu ina majini?Mkuu hii ina Majini,aisee
Mishelisheli inakuwa Mikubwa halafu inatisha kimtindo.Ipo huku kwa Broo Fuoni Zanzibar,