Ushauri Carina TI na Carina SI

Kwa kweli nitakuwa mfuatiliaji sana kwenye hii mada, maana sina uzoefu kabisa na magari ya Japan. Mi zangu BMW, Benz, Audi na kidoogo Volkswagen... Mkitaka uzoefu kwenye gari hizi za kijerumani nitachangia
 


Hapa umeongea jambo la muhimu sana. 5A , 4A ndio ziliweka mpaka kati ya Distributor technology na coil
 
Natumia carina ti
Je ni sawa kwa safari za mjini mafuta kwenda 9-10km/litre?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…