Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba.
Swali langu moja tu hamjiulizi JPM yupo wapi na aloe mjibu wazee wanawashwa washwa yupo wapi Alie sema hayo maneno?
Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa kiongozi alie penda haki hata pale wakuu wake walipo fanya maamuzi yalikinzana na taratibu.
Jaji Warioba hatupaswi kumjibu ila tunapaswa kumsikiliza nakufanyia kazi. Jeshi letu na idaza zake hazipaswi kuingizwa kwenye siasa huwo ni ukweli mchungu tena mchungu sana na una madhara makubwa tukiudharau.
Jaji Warioba amesema kwa niaba ya wazee na mh Jakaya aliwahi sema "ukitaka nchi itulie sikiliza wazee" vijana tuache mihemko hichi chama hawa wazee wakiamua wanakipindua na mipango yenu yote mtaikuta baharini WAZEE WASIKILIZWE NA KUHESHIMIWE.