Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Aliekuwa DC.wa wilaya ya Longido miezi kadhaa iliyopita, aliweka wazi kuhusu hujuma zinazofanywa kwenye chaguzi zetu na alilenga kilichotokea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019.
Japo tulimshambulia sana,ila alichosema kilikuwa ni kweli na teyari tumeanza kuona mwelekeo wa nini kinachokwenda kutokea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa November 27 mwaka huu.
Hivyo, nashauri atunukiwe cheti cha kusema ukweli kuhusu madudu ya chaguzi hizi hata kama uteuzi wake ulitenguliwa.
Nawasilisha.