Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #21
Mbowe inasemekana alikuwepo kwenye maandamano yaliosababisha kifo cha Aquilin lkn hakuonekana kwenye Tv. Kwahiyo ni siwezi kusema aliandamana maana sikumuona ku confirmMleta mada hujawahi kumuona Mbowe,Lissu,Lema,Msigwa kwenye maandamano ya amani?
Basi utakuwa bado Serengeti boy!
hahaaa kama yale aliyoagiza muandamane yeye akakwea pipa huyooooooo kwa mume wake?Mleta mada hujawahi kumuona Mbowe,Lissu,Lema,Msigwa kwenye maandamano ya amani?
Basi utakuwa bado Serengeti boy!
Umemjua Lissu Juzikati baada ya mumeo kununulia smartphone.hahaaa kama yale aliyoagiza muandamane yeye akakwea pipa huyooooooo kwa mume wake?
heee we shoga na wewe umetokea wapikwenye mada za wanaume?Mpe mumeo tunda achana na mambo hayo unajichosha bure.
nenda na wewe mduate lissu akakutafutie mume uolewe tu huna hojaUmemjua Lissu Juzikati baada ya mumeo kununulia smartphone.
Ndio maana nashauri viongozi na wanachama tujitokeze kwa wingi katika haya maandamano ya amani ili kuionesha dunia kuwa tumechoshwa na huu udhalimu. Viongozi nao wasituangushe kwa kukaa majumbani mwao, waje tushirikiane bega kwa bega.CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala, CCM hii haina tofauti na Bokoharam.
Mbowe alikuwepo pia maandamano ya kupinga meya wa Arusha 2011 nadhani wewe bado ulikuwa kwenu Koromije.Mbowe inasemekana alikuwepo kwenye maandamano yaliosababisha kifo cha Aquilin lkn hakuonekana kwenye Tv. Kwahiyo ni siwezi kusema aliandamana maana sikumuona ku confirm
kama utawaona wako front nahama tzNdio maana nashauri viongozi na wanachama tujitokeze kwa wingi katika haya maandamano ya amani ili kuionesha dunia kuwa tumechoshwa na huu udhalimu. Viongozi nao wasituangushe kwa kukaa majumbani mwao, waje tushirikiane bega kwa bega.
Nitakuziba kujamba very soon..!heee we shoga na wewe umetokea wapikwenye mada za wanaume?
Hahahaha okMbowe alikuwepo pia maandamano ya kupinga meya wa Arusha 2011 nadhani wewe bado ulikuwa kwenu Koromije.
nenda kamgonolee mumeo huko anahamu naweNitakuziba kujamba very soon..!
Sasa kama amekamiliaha kazi yake, abaki mitandaoni kufanya nini? Manyumbu hayanabraha kabisa huko twitter.na kigogo2014 kapotea mtandaoni ghafla kwi kwi kwi 😀
Amini kwamba, itabidi wafukuze viongozi wote waliopo sasa. Hakuna kiongozi atakaehudhuria hayo maandamano.Mbinu hii itawasaidia kuwatambua viongozi wenye uchungu kweli na mwenyekiti, katiba mpya na demokrasia na wale ambao hawana uchungu na chochote katika hivyo nilivyotaja hapo juu yani wanafiki.
Hawa walijitolea kwa jasho na damu katika kuvijenga vyama vyao. Katika kusimamia itikadi za vyama vyao hawakuangalia wala kujali athari zilizokuwepo mbele yao. Tofauti na hawa wachumia tumbo ambao wanatafuna hela za chama, lkn hawana msaada wowote kwa chama wala mwenyekiti wa chama.Augustine Mrema, Dr Mihogo na Lipumba ndio ma'best' wako kwenye viongozi wa upinzani.
Hongera zako.
hana lolote na tushamjua ni wale wale na uzuri na wao watakufa watake wasitake 😎Sasa kama amekamiliaha kazi yake, abaki mitandaoni kufanya nini? Manyumbu hayanabraha kabisa huko twitter.
Kwann mkuu mbn inasemekana ametumia utajiri wake kukijenga chama?kwa sasa wacha Mbowe apambane na hali yake.
na mwisho wake kakitumbukiza chama kwenye matatizo makubwa!!Kwann mkuu mbn inasemekana ametumia utajiri wake kukijenga chama?
Matatizo hayo ni yepi mkuu, mbn wanachama wanasema kawavusha sana?na mwisho wake kakitumbukiza chama kwenye matatizo makubwa!!