Ushauri: Chakula bora cha kuku

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,261
Nilitaka kujua kampuni gani ya chakula cha mifugo hususani kuku kwa sasa kina soko zaidi. Nimesikia kampuni za Hill, Falcon, n.k. Naweza pata mawasiliano yoyote?
 
Nilitaka kujua kampuni gani ya chakula cha mifugo hususani kuku kwa sasa kina soko zaidi. Nimesikia kampuni za Hill, Falcon, n.k. Naweza pata mawasiliano yoyote?

Ozzie Mambo yako mkuu,

Kama unataka chakula bora kwa ajili ya Layers au Broilers,CP ndio habari ya mjini kwa sasa,kamata hii number 0717332652 tuwasiliane muda wowote.

Tunauza vifaranga vya nyama na mayai,tunauza vyakula vya kuku pamoja na mayai ya kutotoleshea.

CPF TANZANIA LIMITED ndio mkombozi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…