Ushauri: Clatous Chota Chama Aende Young Africans Kwa Mkopo

Onana kafunga mbili wamemsahau Chama daah watani waongo sana...
 
Simba wachukue tahadhari, Kwenye media YANGA ni wengi sana ..
 
Naona una matarajio ya kuokota dodo kwenye mwarobaini!! Mwache apate adhabu, sisi hatuangalii uso wa mtu, tunachoangalia ni kanuni na nidhamu kwa wachezaji!
 
Yanga tushatoka huko
Hatusajili kwa mihemko
Kama ana tuhuma za utovu wa nidhamu basi atumikie adhabu yake
Mtovu wa nidhamu Yanga wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…