chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Asante mkuu5A ni engine kubwa na ina nguvu. Mafuta na mwendo vyote utapata. Hata suzuki swifty inaenda songea sembuse Iringa. Hayo magari madogo unayoyaona Songea na Mbeya yalipita hapo Iringa yakiendeshwa. Hayakubebwa kwenye magari.
So yes halina shida. Nunua.
Hizo gari ni balaa,jamaa angu moja anapiga nayo masafa Moshi.PREMIOR NDO MPANGO MZIMA POPOTE TZ INAENDA
Moshi kutokea wapi?Hizo gari ni balaa,jamaa angu moja anapiga nayo masafa Moshi.
Huu ushauri umekwenda shule5A ni engine kubwa na ina nguvu. Mafuta na mwendo vyote utapata. Hata suzuki swifty inaenda songea sembuse Iringa. Hayo magari madogo unayoyaona Songea na Mbeya yalipita hapo Iringa yakiendeshwa. Hayakubebwa kwenye magari.
So yes halina shida. Nunua.
Chichi ulijificha wapi aseee,nilikuwa nakufuatilia humu sikuoni toka ulivyotupia vile ambavyo ungejitambulisha darasani.saa unataka kuchukua mkoko! Hongera asee,wadogo zako wametelekezwa na marking NECTA siyo dili tena mama kafuta malipo.Daaah basi ngoja niwahi kutoa pesa jamaaa asije akagairi
DarMoshi kutokea wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thanx mkuu Maisha yanaendeleaChichi ulijificha wapi aseee,nilikuwa nakufuatilia humu sikuoni toka ulivyotupia vile ambavyo ungejitambulisha darasani.saa unataka kuchukua mkoko! Hongera asee,wadogo zako wametelekezwa na marking NECTA siyo dili tena mama kafuta malipo.
Mkuu wewe ni mkufuzi..5A ni engine kubwa na ina nguvu. Mafuta na mwendo vyote utapata. Hata suzuki swifty inaenda songea sembuse Iringa. Hayo magari madogo unayoyaona Songea na Mbeya yalipita hapo Iringa yakiendeshwa. Hayakubebwa kwenye magari.
So yes halina shida. Nunua.