Ushauri: Diamond na Wasafi FM zingatieni haya

Sehem kama hizo zenye watoto wa mjini wanaokusanyika kusaka tonge inabidi kuwe na mtu mmoja mnoko anaesimamia mambo ya nidhamu ya kazi na anaejua ku deal nao. Huyu mtu anaweza kuwa nae mtangazaji au kwenye Human Resource. Huyu inabidi wamwogope kuliko wenye mali. Redio nanihii ilipoanza ilikuwa hivi hivi watu walikuwa wanafanya mpaka mambo ya ajabu kwenye viunga vya ofisi baadae wakanyooshwa!!
 
 
Mzee baba mbona unipa cheo ambacho Sio changu me na utangazaji wapi na wapi hiv unajua nimesomea kitu gani?
Chochote ulichosomea, sisi mabosi wa redio hatujali. Tunachojali unajua kuongea na/au una umaarufu uchwara fulani hivi.
 
David Rwenyagira sio Rweikiza, umechambua heko sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…