ProShackys
Member
- May 23, 2025
- 8
- 8
Yeah ni right bro lkn unaweza kuwa na skills na bado zisikupatie fursa za ajira au kujiajiri compared to VETA mkuuApa bro wewe akili yako inafikiria nini kwa sasa maana sie pia tunafikiria majibu ya akili zetu kuweza kukupa kaka labda tuanzie kwako kwa upande wangu kama uko fit unaweza kutumia diploma yako kama unataka kuwa na skills zaidi nenda degree pia veta ni sehemu sahihi inategemeana na mawazo yako kipi unataka maana maamuzi yanatoka kwako na hii ni kwaa jili ya maisha yako mwenyewe
Hahaha bro acha utani bhana skills za IT zinahitajika sehemu zote kama uko nondo hii ni siriazi nakuambia. Japo pia VETA ni nzuri sana piaYeah ni right bro lkn unaweza kuwa na skills na bado zisikupatie fursa za ajira au kujiajiri compared to VETA mkuu