JourneyMan
Member
- Apr 1, 2020
- 42
- 50
Wadau nahitaji Showcase/display fridge ya lita 300-380, kwa ajili ya biashara..
Nikinyoosha sana mkono Naishia 1.5M, kulingana na Brand na ujazo.
Brands ninazoziwaza ni kati ya
Midea
Haier
Hisense
Westpoint
Bruhm
au
Von,
Ninacho omba kujua kwa wazoefu, kuna za mtumba Nyingi tu kama LG, Samsung n.k kutoka Nje, naona zinachezea kuanzia 500k, jee kuna aliyeshatumia? Zinadumu?
Hisense kila yule ana case yake, inanichanganya sana.
Naomba mawazo yenu, hasa hapo kwenye Mpya kwanza.