Ningekushauri Haier, Von.
Huyo Hisense natamani awe namba 3 ila na mimi simuelewi.
NB: kupata ushauri, Subiri hata kesho halafu andika hivi..
"NIMEPIGWA, NIMENUNUA FRIDGE YA ALITOP JUZI, LEO IMEZIMA 😪😪😪'"
Hapo watu wengi watakimbilia kwenye uzi wako kukucheka halafu ndio Watakushauri/ringishia brand nzuri/wanazotumia.
Utapata pa kuanzia..