Ushauri: Engene ya Toyota Allion (1NZ) inatetemeka ukiwasha aircondition

Mkuu upo sahihi
Sasa naomba msaada kama kuna mtaalamu ambae unadhani ataweza kunisaidia
 
Mkuu upo sahihi
Sasa naomba msaada kama kuna mtaalamu ambae unadhani ataweza kunisaidia
Mpigie Fundi Magona 0658013011 Yupo poa sana na bei zake ni poa ukimuita popote anakuja Spear unaenda nae kununua Make sure unanunua original Spear acha ubahili
 
Mpigie Fundi Magona 0658013011 Yupo poa sana na bei zake ni poa ukimuita popote anakuja Spear unaenda nae kununua Make sure unanunua original Spear acha ubahili
Sawaa mzee asante sanaa
Ngja nimpigiee
 
Zilikugharimu bei gani mpe mwongozo muhanga na kwa faida ya wengine.
Last time kama miezi 2 imepita, nilinunua engine mount moja ilikuwa bush yake imekatika, na tatizo lilikuwa hilo. Ukisimama foleni ikawasha feni kupoza injini, gari inatetemeka ndani. Baada ya kubadili hiyo engine mount ikatulia. Ilikuwa elfu 90, gari ni Toyoya.
 
Mkuu mimi niko mbioni kununua iyo gari Toyota allion naomba uniambie kerozake na rahazake kabla sijainunua plz
 
Kero za Nissan X-trail hazimithiliki. Ugonjwa wa Moyo
 
Kero za Nissan X-trail hazimithiliki. Ugonjwa wa Moyo
Nissan x-trail ni gari miongoni mwa gari nzuri sana, tatizo la wamiliki ndio tunasingizia gari lenyewe.
Hiyo gari haitaki ramli za mafundi, tatizo lolote ktk engine ingiza ktk diagnosis/computer na sio kuipigia ramli chini ya miembe. Hapo utaifurahia.
 
Pooa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…