USHAURI: Epuka Makosa haya 10 Kabla ya kumiliki Chombo cha Moto

Kweli kabisa boss. Ahsante kwa nyongeza hizo nzuri
 
Hii namba 13 imenikuta asee tairi bado mpya zikalika kwa ndani, kwani wheel alignment inatakiwa kufanyika kwa muda gani boss?
 
Apo kwenye kuendesha gari yako mwenyewe ndio nimekuelewa na ndio uwa nazingatia yaani anayejua thamani ya gari yako ni wewe mwenyewe.
 
Apo kwenye kuendesha gari yako mwenyewe ndio nimekuelewa na ndio uwa nazingatia yaani anayejua thamani ya gari yako ni wewe mwenyewe.
Kifaa kinapotumiwa na watu tofauti kugundua tatizo hua inachukua mda na wakati mwingine huweza kuleta madhala zaidi kama mtumiaji mwingine hayuko makini na chombo
 
Kichwa cha Post siyo sahihi kwani kinaongelea kabla wakati Post inaongelea unapomiliki nini uzingatie.
 
Kichwa cha Post siyo sahihi kwani kinaongelea kabla wakati Post inaongelea unapomiliki nini uzingatie.
shukrani boss, kwa upande wangu kichwa hicho cha habari kiko hivyo kwa kua nyakati inayozungumzwa ni nyakati iliyopo inayoelea au “present continuous tense.” Lakini kwa kua mi si mtaalamu wa kiswahili nadhani wewe au wadau wengine mnaweza kusahihisha hicho kichwa ili ujumbe ufike vizuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…