Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Kwanza, pole kwa kumkosa mama, coza feel your pain. 😢

My point;
1. You know him as well.
Mi nitasema tu kwa ujazo wa chumvi yangu niliyokula japo si nyingi.

Tabia ya mtu hu-surrender kutokana na failures anazopitia katika maisha. So, hapa kuna mara mbili, akutumie kama kivuko kwa sasa vile amekosa namna, ama amebadilika. Kichwa chake ndio kina majibu tosha.
You should study him deeply, ndio umsogeze tena.

But, listen to your heart. Moyo wako unasemaje? Maana huku uswazi, tuliwahi kutoa ushauri baadaye tukaona tunaalikwa kwenye meza ya bwana kupewa dinner na wale wana-divorce!
We didn't expect that! 😂🙌

Mpe time! ⌚
 
Sijasoma mada ila imeniuma sana hasa hapo uliposema alikubaka, kweli sisi wanaume ni umbwa.
 
Sijasoma mada ila imeniuma sana hasa hapo uliposema alikubaka, kweli sisi wanaume ni umbwa.
 
Asante mkuu ...apumzike kwa amani mama yangu
Huyu bwana J amefulia kiaina
Kifupi ndo anajikusanya kurudi kwenye maisha na hata mimi nahisi ndio sababu kubwa ya kutaka nirudi
 
wewe umemteka mbabu wa watu unaanza kuja kutusumbua hapaa...??? muache babu ale pension yakee aisee.
 
wewe umemteka mbabu wa watu unaanza kuja kutusumbua hapaa...??? muache babu ale pension yakee aisee.
Hata Me alinteka kwakuwa bada ya kumuacha nilikula kimasihara km Zote
 
Muombe tiGo
 
Asante mkuu ...apumzike kwa amani mama yangu
Huyu bwana J amefulia kiaina
Kifupi ndo anajikusanya kurudi kwenye maisha na hata mimi nahisi ndio sababu kubwa ya kutaka nirudi
Hapo kazi nyingine hiyo!
 
Hujanionjesha zawadiii kipenzi vibaya hivo ujuee! Pasaka ntakua Moro nakutumia zawadiii zakooo zileeee kipenzi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zawadi bado sijachukuaaa, naulizia kwan ni nini, ili nimtume mtu.
Uwiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…