Fundifundisho
Member
- Jan 11, 2011
- 77
- 18
ku-do c kipimo cha kupenda/ndwa.
Ila huyo jamaa wa mtaani chunguza. Usikute ng'ombe unafuga wewe maziwa wanakamua wengine
Hivi kuna mapenzi kwa wakati huu tuliopo ya kutoka out tu na kuuza sura bila kubanduana? Nalog offBadili Tabia amesema kweli kabisa upendo wa kweli si lazma kuvuana chupi,ni zaidi ya hapo hivyo kaka aendelee kuwa na subira...kimsingi afuate ushauri alioambiwa wa kumchunguza huyo kaka wa mtaani isije kuwa wanashare
Hivi kuna mapenzi kwa wakati huu tuliopo ya kutoka out tu na kuuza sura bila kubanduana? Nalog off
Hivi kuna mapenzi kwa wakati huu tuliopo ya kutoka out tu na kuuza sura bila kubanduana? Nalog off
Shati mie huwa nalivaa juu halafu suruali down. Nalog offusilog off..yani shut down kabisa
Umeona eh! Halafu mtu anaanza kukupiga kalenda,mie siukubali ujinga huu. Nalog offhakuna mapenzi ya aina hiyo. Siku hizi lazma uzame chumvini mapema, mapenzi ya siku hizi hayana gerentii.
Huyo rafiki yako anaishi kwao ,kwa dada yake au kwake? kwasababu hilo ni ni suala muhimu sana linalo affect mfumo wa kufikiria.Umeona eh! Halafu mtu anaanza kukupiga kalenda,mie siukubali ujinga huu. Nalog off
Mwambie aendelee kushika pembe. Ipo siku atafikiriwa!
hakuna mapenzi ya aina hiyo. Siku hizi lazma uzame chumvini mapema, mapenzi ya siku hizi hayana gerentii.
Ni rafiki yako au we mwenyewe,sema usaidiwe kijana?