concrete15
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 882
- 323
mkuu gari hii Toyota pia wamei copy kwa TOYOTA RUSH ambayo ni more durable. so unaweza kuangalia hiyo option
Hata me nimetokea kuvipenda hvi vigari aisee spea vipi jamani
Mkuu tupe mrejesho baada ya kutumia terrios kid yako ileNaombeni ushauri kuhusu aina hii ya gari kwa watu ambao washaitumia na wanajua ina madhaifu gani na gari gani nzuri aina nyingine mbadala ya hiyo.
Ziko aina mbili Terios Kid na Terios nishachukua Proforma invoice toka befoward ila sijafanya malipo.
Asanteni sana
ShukranNi gari nzuri na ngumu sana,tafuta yenye milage chache na uwe unaifanyia service inayotakiea na kwa wakati,hutajuta.
4WD yake kama ya cruser mkuu.
Kuna jamaa zangu wawili wanazilalamikia sana wanasema zinawasumbua spea na kuwa japo no 4WD hazina nguvu stahili...je ni kweli?Terios ni gari nzuri sana, kuna jamaa yangu tuna mapori yetu mahali tunalima lima!! Yeye ana brevis mie nina terios!! Yeye hafiki hata shambani kwake na gari yake, lakini mimi napita shambani kwake nakwenda kilomita tatu zaidi kwenye milima na mabonde nikiwa ndani ya terios mpaka shambani kwangu na ni vipindi vyote masika au jua!!
Hainywi mafuta, ni SUV, ni 4WD na ni ngumu haswa. Nilichafanya niliongeza rims za tairi tuu, comfortability ikaongezeka hata kwenye mabonde.
Maneno ni mengi Mkuu. Na madhumuni ya gari hizi no kwa route fupi fupi sio safari ndefu sana. Kuhusu nguvu usitegemee nguvu kuubwa kwenye gari ya cc 650 ukitaka yenye nguvu kuubwa unayohitaji check gari za cc kubwaKuna jamaa zangu wawili wanazilalamikia sana wanasema zinawasumbua spea na kuwa japo no 4WD hazina nguvu stahili...je ni kweli?
Shukrani mkuuManeno ni mengi Mkuu. Na madhumuni ya gari hizi no kwa route fupi fupi sio safari ndefu sana. Kuhusu nguvu usitegemee nguvu kuubwa kwenye gari ya cc 650 ukitaka yenye nguvu kuubwa unayohitaji check gari za cc kubwa
Kuna jamaa zangu wawili wanazilalamikia sana wanasema zinawasumbua spea na kuwa japo no 4WD hazina nguvu stahili...je ni kweli?
Maneno ni mengi Mkuu. Na madhumuni ya gari hizi no kwa route fupi fupi sio safari ndefu sana. Kuhusu nguvu usitegemee nguvu kuubwa kwenye gari ya cc 650 ukitaka yenye nguvu kuubwa unayohitaji check gari za cc kubwa
Nimekupata vyema mkurugenzi..Kuna gari mbili wengi wanachanganya, Daihatsu Terios na kuna ingine ni Daihatsu Terios Kid!!
Terios ina engine yenye CC 1290 wakati Terios Kid ina CC 660.
Nimeitumia sana Daihatsu Terios, ni gari nzuri mno! Ina nguvu inapita popote pale iwe lami au rough road kufupi inafaa kwa sie wajasiriamali wa porini!!
Pia watu wanasema huwezi kwenda speed, nilikuwa nakanyaga mpaka 140 kwenye route ndefu!
Nishatoka nayo Mbeya to Arusha kupitia Dar (nilikuwa na ishu Dar nikapita hapo na kugeuza muda huo huo kuelekea Arusha) bila kuipumzisha!
Kifupi ni gari nzuri, fuel consumption yake ipo vizuri sana.
Kuhusu spare zinapatikana ila kwa maduka machache, mie nilikuwa napata gerezani kuna jamaa anaitwa Swahiba ana spare za kutosha za terios!! Na huwa haitaki spare fake, ila ukiiweka ni mkataba na unasahau!!
Staff mwenzangu nilimpeleka Lushoto na terios yangu, ilipanda kila kona kule mpaka alishangaa!!
Tuliporudi Dar akataka anunue kama ile ile! Kumbe hakuwa makini akanunia Terios Kid, alipoona haina nguvu kama yangu ndipo akaileta na kuniuliza umeifanyaje yako ina nguvu!! Nikamwambia umekosea yako ni kid na si terios π€£π€£π€£
Aliiuza akanunua terios ya kawaida chini ya usimamizi wangu! Anaipenda kuliko chochote, fuel consumption nzuri, 4wd!! Muda wote safiii, so be careful katika hilo wakuu.
Tatizo lake haichanganyi fasta labda iwe na turbo, ukitaka kununua chukua yenye turbo ni nzuri zaidi!! Pia siyo gari yenye starehe π€£π€£π€£
Kuna gari mbili wengi wanachanganya, Daihatsu Terios na kuna ingine ni Daihatsu Terios Kid!!
Terios ina engine yenye CC 1290 wakati Terios Kid ina CC 660.
Nimeitumia sana Daihatsu Terios, ni gari nzuri mno! Ina nguvu inapita popote pale iwe lami au rough road kufupi inafaa kwa sie wajasiriamali wa porini!!
Pia watu wanasema huwezi kwenda speed, nilikuwa nakanyaga mpaka 140 kwenye route ndefu!
Nishatoka nayo Mbeya to Arusha kupitia Dar (nilikuwa na ishu Dar nikapita hapo na kugeuza muda huo huo kuelekea Arusha) bila kuipumzisha!
Kifupi ni gari nzuri, fuel consumption yake ipo vizuri sana.
Kuhusu spare zinapatikana ila kwa maduka machache, mie nilikuwa napata gerezani kuna jamaa anaitwa Swahiba ana spare za kutosha za terios!! Na huwa haitaki spare fake, ila ukiiweka ni mkataba na unasahau!!
Staff mwenzangu nilimpeleka Lushoto na terios yangu, ilipanda kila kona kule mpaka alishangaa!!
Tuliporudi Dar akataka anunue kama ile ile! Kumbe hakuwa makini akanunia Terios Kid, alipoona haina nguvu kama yangu ndipo akaileta na kuniuliza umeifanyaje yako ina nguvu!! Nikamwambia umekosea yako ni kid na si terios [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliiuza akanunua terios ya kawaida chini ya usimamizi wangu! Anaipenda kuliko chochote, fuel consumption nzuri, 4wd!! Muda wote safiii, so be careful katika hilo wakuu.
Tatizo lake haichanganyi fasta labda iwe na turbo, ukitaka kununua chukua yenye turbo ni nzuri zaidi!! Pia siyo gari yenye starehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naom a kuuliza jambo hapa....hii terios na toyota kami naona kama vile ni gari moja...vipi haziingiliani spea..?
coz nasikia Daihatsu na Toyota kuna ushirika falni kama walivyo Nissan na Renault
[emoji23][emoji23][emoji23]ok nimekupata....magari mengi tu yanagoma ukiweka spea feki sehemu nyeti kama injini...Toyota wao sijui vipi...feki au og zinasoma tuPamoja ya kuwa ni makampuni dada lakini kila moja lina technology zake ilhali wakati huo huo kuna technology wanashea!!
Kuna spare zinaingiliana hasa za nje! Kwenye miguu na body kiujumla!
Ukija kwenye system kuna utofauti! Mfano niliwahi kutumia plugs zilikuwa zinazochoma vizuri kwenye Cami nikazitamani ila zikaja kugoma kwenye Terios, ikagoma kuwaka kabisa!! Mpaka nikanunua zingine ndipo zikakubali!!
Hali kadhalika vitu kama oil filter, zipo za aina mbili feki na original, kwenye Cami zile feki zinapiga kazi ila kwenye terios zinagoma kabisa na taa ya check engine inawaka!!
Kwa nilivyoona hayo na kwa upeo wangu mdogo nikagundua hawa jamaa wanaundugu ila kila mtu na mke wake(I mean family yake!) [emoji3][emoji3][emoji3]
Umeandika hadi nmesikia kiu ya pilau. Unajua kujieleza sana mkuu. Hapa hakuna swali la nyongeza. Safi sana.Kuna gari mbili wengi wanachanganya, Daihatsu Terios na kuna ingine ni Daihatsu Terios Kid!!