Ushauri gari aina ya DAIHATSU TERIOS

UNAFAA KUWA MWALIMU...MAELEZO YAKO YAMEJITOSHELEZA.
 
Naomba kujua matatizo ya hii gari mkuu
 
M Naomba kujua kuhusu udhaifu wa Terios kid kaka imautofauti gani na hii terios yako
 
M
Naomba kujua kuhusu udhaifu wa Terios kid kaka imautofauti gani na hii terios yako
Terios KID engine yake ni CC 660, hizi terios za kawaida ni 1290. Obvious perfomance zitakuwa tofauti, sijawahi kutumia kid naomba nisiisemee.

Terios kubwa tatizo lake kubwa ni upatikanaji wa spares zake tu hasa ukiwa mikoa tofauti na Dar.
 
Mkuu naomba mrejesho wa hii gari.Bado unayo?
 
Terios KID engine yake ni CC 660, hizi terios za kawaida ni 1290. Obvious perfomance zitakuwa tofauti, sijawahi kutumia kid naomba nisiisemee.

Terios kubwa tatizo lake kubwa ni upatikanaji wa spares zake tu hasa ukiwa mikoa tofauti na Dar.
Nataka kununua terios kaka.Hii ya cc 1290 unanishauri nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…