umezikagua vizuri hizogari upande wa injini na giabox?Wakuu bukheri?
Namuombeni mpate kunijuza...Kuna ma Ford chakavu nimeyafuma pahala.
Nia yangu nataka yaleta nyumbani TZ.......Sasa hofu yangu ni hapo bandarini pamoja na watoza ushuru TRA ndio wananinyima RIZKI.
Kuna namna ya kupiga zurzunga au mazobanangai wataleta USHIRIKINA?
anacho takiwa nikuangalia vifaa vizima tuu abebe alalembele.hizogari nivichomi zikichakaa.Ford Model gari?
Ford Focus,Ford Fiesta,Ford Everest,Ford Ranger XLT,Wildtruck au Ford Explorer.
Kama kuna ford ranger na everest chomoa engines na control boxes za Duratoque engine utapata wateja wa Land Rover 110 Puma,Freelander 2, Ford Everest na Rangers
Engine ya Ford Duratoque 2.2L na 3.0L ni deal inatumika kwenye Gari nyingi ambazo hapa Bongo zimeenea Land Rover 110 Defender Puma, Land Rover Freelander 2 za diesel na Ford Ranger na Everestanacho takiwa nikuangalia vifaa vizima tuu abebe alalembele.hizogari nivichomi zikichakaa.
Yani mkuu Ford Ranger nidili sana mana zipo nyingi bongo nazinasumbua sana spea zao.Engine ya Ford Duratoque 2.2L na 3.0L ni deal inatumika kwenye Gari nyingi ambazo hapa Bongo zimeenea Land Rover 110 Defender Puma, Land Rover Freelander 2 za diesel na Ford Ranger na Everest
Nitajirekebisha ndugu.....ni kwamba nime panic......Mwandiko wako ni kama wa darasa 3 maana umeshindwa kutoa details za kueleweka, fafanua vizuri hii mada yako ili tujue upo nchi gani na hayo magari chakavu ni ford za Aina gani na yapo mangapi kwasababu kwenye usafirishaji kuna chaji za umri wa magari .
Pia hatujui unaleta ford used au unaleta vyuma chakavu!!! Ni kichekesho Sana kuandika mada isiyoelewa alafu utegemee kupata msaada
Tuma picha na bei watu waanze kuyalipia upate na bei ya kikotoo cha TRAWakuu bukheri?
Namuombeni mpate kunijuza...Kuna ma Ford chakavu nimeyafuma pahala.
Nia yangu nataka yaleta nyumbani TZ.......Sasa hofu yangu ni hapo bandarini pamoja na watoza ushuru TRA ndio wananinyima RIZKI.
Kuna namna ya kupiga zurzunga au mazobanangai wataleta USHIRIKINA?