Ushauri hapa

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Wana jf.mi ni mwanaume Nina ------ makubwa utafikiri dem et. mpaka najisikia vibaya nikichomekea ninavyotuna nyuma.

Nawaombeni ushauri nitumie dawa/mazoez gani I'll angalau yapungue?
 
have wana jf.mi n mwanaume Nina ------ makubwa utafikir dem et. mpska najisikia vibaya nikichomekea ninavyotuna nyuma.nawaomben ushaur nitumie dawa/mazoez gan I'll angalau yapungue

fanya utafiti wahindi wanapenda kula nini. jibu utalipata.
 
Jikubali tu...kuwa na bambataa kubwa hakumaanishi ww sio mwanaume wa kweli mkuu unless kuwe na kitu kingine.
 
ht Hanna kingne ila aibu turn pak a nawaza. kwl dunia haina huruma kuna wanawake wapo flat AF mi npo hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…