ushauri hard drive inajaa bila ya kuweka kitu

ushauri hard drive inajaa bila ya kuweka kitu

Iza

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Posts
2,045
Reaction score
643
Wasalaam wakuu!!
Kalaptop kangu kananizingua ni HP530,Hivi karibuni nilikuwa sikatumii kukafungua nikakuta hard drive zinajaa bila ya kusave chochote nimejaribu kustop system backup (manake nilischedule kila siku) wapi nimekascan lakini wapi.
Msaada wakubwa!
 
114794_large.jpeg

http://download.cnet.com/WinDirStat/3000-2248_4-10614593.html?tag=mncol
Itakuonyesha files gani zinachukua nafasi.

CCleaner
http://download.cnet.com/ccleaner/?tag=mncol
Inasaondoa temp files, etc.

Pia tafuta anti virus, kama una windows download Microsoft Security Essentials, ni bure.
 
thanx kang!
Ngoja nijaribu
 
Down load combo fix kisha i run kwenye hiyo mashine,itakuwa sawa tuu!!
 
Back
Top Bottom