ushauri hard drive inajaa bila ya kuweka kitu

Iza

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Posts
2,045
Reaction score
643
Wasalaam wakuu!!
Kalaptop kangu kananizingua ni HP530,Hivi karibuni nilikuwa sikatumii kukafungua nikakuta hard drive zinajaa bila ya kusave chochote nimejaribu kustop system backup (manake nilischedule kila siku) wapi nimekascan lakini wapi.
Msaada wakubwa!
 
thanx kang!
Ngoja nijaribu
 
Down load combo fix kisha i run kwenye hiyo mashine,itakuwa sawa tuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…